Nijuzeni tabia za wacongo

CC kiwatengu
 
kipindi nilivokuwa mdogo wakati huo nipo darasa la tatu, tulikuwa tunaishi jirani na mchungaji mmoja ambaye alikuwa ni Congolese, alikuwa na watoto watatu ili nilichokiona kwa watoto wale suala la kupendana ilikuwa ni mtihani maana walikuwa hawakai kupigana bila huruma kwa sababu ambazo zilkuwa ni za kijinga

Kwa maana hiyo inaonekana wana hulka ya kugombana ovyo.
 
Mimi mutoto ya Joseph Kabila murais..mubaba yangu ana mapesa mengi..

Nitakupa mupenzi motomoto[emoji23] [emoji23]

Wacongo bana full fix[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Jamani hiyo avatar hiyo
 


Mwambie akimbie mara moja, wakongo wanawezana wenyewe kwa wenyewe. Yaani wako kama Nigerians, ni watu wana vitu vya chini chini sana na hawana mapenzi ya kweli si wanawake si wanaume kwani kwao (mila zao) ndivyo walivyo. Watu wanakuwa na mahusiano ila hawaaminiani kihivyo. Asing'ang'anie atakuja kujuta.
 
Point taken
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…