Nijuzeni Tiba ya Fangasi za kucha za mkononi zinazotokana na kufua

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
6,736
Reaction score
10,669
Wakuu tatizo langu ni hilo hapo juu nimetumia dawa nyingi za kupaka na kumeza ila tatizo lipo palepale kama kuna MTU anaejua dawa tafadhali Shea nami
Ni mikononi tu hadi kucha zinatoka
kama ni sabuni nielekezeni IPI ni bora
 
Yeyote mwenye shida ya fungus anitafute dawa ninayo yakuua kila aina ya fungus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…