T-Bagwell JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 1,243 Reaction score 2,378 May 12, 2018 #21 kassimneema said: Ke, Click to expand... Unaweza fanya mazoezi Au unaweza tumia Dawa za uzazi wa mpango(OCPs) kama Flex P Ila ni vyema ungetafuta kwanza chanzo cha kujua kinachosababisha wewe kuwa na hiyo hormone kwa wingi.
kassimneema said: Ke, Click to expand... Unaweza fanya mazoezi Au unaweza tumia Dawa za uzazi wa mpango(OCPs) kama Flex P Ila ni vyema ungetafuta kwanza chanzo cha kujua kinachosababisha wewe kuwa na hiyo hormone kwa wingi.
Nima Imma JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 2,473 Reaction score 3,669 May 12, 2018 #22 T-Bagwell said: Unaweza fanya mazoezi Au unaweza tumia Dawa za uzazi wa mpango(OCPs) kama Flex P Ila ni vyema ungetafuta kwanza chanzo cha kujua kinachosababisha wewe kuwa na hiyo hormone kwa wingi. Click to expand... Nahitaj kubeba mimba so flex p sitaweza
T-Bagwell said: Unaweza fanya mazoezi Au unaweza tumia Dawa za uzazi wa mpango(OCPs) kama Flex P Ila ni vyema ungetafuta kwanza chanzo cha kujua kinachosababisha wewe kuwa na hiyo hormone kwa wingi. Click to expand... Nahitaj kubeba mimba so flex p sitaweza
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 May 12, 2018 #23 kassimneema said: Dawa yake ni primolut N ,, kuna brand name nyingine inaitwa hivuo hivyo testerone,, doz inatofautiana a ukubwa wa watatizo ila kama unavyojua ukimaliza lazima ukae kama siku 2-4 utableed ,, Click to expand... mkuu soma tena ulichoandika maana sidhani kama uko sahihi kulingana na hitaji la mleta mada
kassimneema said: Dawa yake ni primolut N ,, kuna brand name nyingine inaitwa hivuo hivyo testerone,, doz inatofautiana a ukubwa wa watatizo ila kama unavyojua ukimaliza lazima ukae kama siku 2-4 utableed ,, Click to expand... mkuu soma tena ulichoandika maana sidhani kama uko sahihi kulingana na hitaji la mleta mada
mahugijafarAzzubayr JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 202 Reaction score 156 May 16, 2018 #24 zamino and x power man by BF Suma