Mboga mboga, ni kilimo cha muda mfupi, kinalipa na soko lake pia ni kubwa. Uwe tu na chanzo kizuri cha majiSalaam wakuu,
Naomba kujuzwa zao LA biashara linalojiuza sokoni bila kumpa stress mkulima,itapendeza zaid likiwa linastahimil ukame na la muda mfupi.Kama kuna mchanganuo pia kuhusu mbegu,mbolea,madawa na ulimaji wake na maeneo linapostaw hilo zao naomba nifahamishwe.
NB. Ushauri kuhusu "korosho" sitaufanyia kazi.
Karibuni.
Mboga mboga, ni kilimo cha muda mfupi, kinalipa na soko lake pia ni kubwa. Uwe tu na chanzo kizuri cha maji
Yah ni kweli ila njia rahisi ni kutafuta location ambayo ina uhitaji mkubwa ambapo supply yake ni ndogo kuliko demandmboga mboga nayo siku hizi imekuwa headache balaa..ushindani umekua mkubwa sana...zaman wamama walika wanatoka dar wanakuja mikoa jirani..saaa hv hakuna..wanalima hatari... kuna mdada kalima mchicha mwingi sana umedoda..hauna wanunuzi...Mungu atusaidie kwakweli...
naandika haya nikiwa na uhakika na ninachoandika
Yah ni kweli ila njia rahisi ni kutafuta location ambayo ina uhitaji mkubwa ambapo supply yake ni ndogo kuliko demand
Umewahijaribu?sana sana utalenga hasa hasa mavyuoni au mahosptalini...nako mabosi ndo wamechukua tender😥
Tungekuwa na viwanda vya kusindika mchicha uuzwe kwenye makopo au kuugandisha kwenye barafu huyo dada asingeumia kichwa.mboga mboga nayo siku hizi imekuwa headache balaa..ushindani umekua mkubwa sana...zaman wamama walika wanatoka dar wanakuja mikoa jirani..saaa hv hakuna..wanalima hatari... kuna mdada kalima mchicha mwingi sana umedoda..hauna wanunuzi...Mungu atusaidie kwakweli...
naandika haya nikiwa na uhakika na ninachoandika
Tuuaindike wa nini? Kwani Mchicha nao ni unaadimika? Au tu export? kwani mchicha unaliwa huko ulaya pia?Tungekuwa na viwanda vya kusindika mchicha uuzwe kwenye makopo au kuugandisha kwenye barafu huyo dada asingeumia kichwa.
Tungekuwa na viwanda vya kusindika mchicha uuzwe kwenye makopo au kuugandisha kwenye barafu huyo dada asingeumia kichwa.
Umewahijaribu?
Waliona unafaidi.Wakajifunza kutokakwako.mno mno..nilipeleka kwa mwaka 1..mwaka uliofutia wakachukua wenyew mabosi
Waliona unafaidi.Wakajifunza kutokakwako.
Umejaribu kwe mahoteli au migahawa?
Hongera sana.
Yaelekea ni mbunifu
Tupeana hizo mbinu mbadala! Itakuwa njemakiasi