Dawa ya 'Griseofulvin' ni anti-fungal, yaani inatibu magonjwa yanayosababishwa na fungu,kwa kawaida ni ya vidonge na hutumika sana kwa maambuzi ya fungus sugu kwenye ngozi na hata kwenye kucha kutokana na uwezo wake wa kuingia mpaka kwenye keratin precusor cells. Labda kuwa specific unataka kujua nini kwenye hii dawa.