nijuzeni

nijuzeni

Mba ni ugonjwa wa ngozi unaosababishwa na fungus. Kwa kitaalam unaitwa tinea vesicolor. Matibabu yake ni kutumia anti fungal creams kama benzoic acid, clotrimazole, miconazole au ketoconazole.
 
Back
Top Bottom