M Mwana ali Member Joined Jan 19, 2013 Posts 14 Reaction score 6 Jan 19, 2013 #1 Jamani hivi mba tiba yake ni nini?
damian marijani JF-Expert Member Joined Jan 31, 2010 Posts 695 Reaction score 466 Jan 19, 2013 #2 Mba ni ugonjwa wa ngozi unaosababishwa na fungus. Kwa kitaalam unaitwa tinea vesicolor. Matibabu yake ni kutumia anti fungal creams kama benzoic acid, clotrimazole, miconazole au ketoconazole.
Mba ni ugonjwa wa ngozi unaosababishwa na fungus. Kwa kitaalam unaitwa tinea vesicolor. Matibabu yake ni kutumia anti fungal creams kama benzoic acid, clotrimazole, miconazole au ketoconazole.