Nikafanya mapenzi nasikia muwasho mkali kwenye njia ya mkojo

Nikafanya mapenzi nasikia muwasho mkali kwenye njia ya mkojo

Mel James

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
356
Reaction score
290
Habari wadau.

Nasikia kuwashwa baada kukujoa mkojo ila muwasho mkali baada ya kufanya mapenzi ndani ya kwenye njia ya mkojo. Nimeenda hosptali Daktari Kanipa amoxclav.

Leo siku ya tatu nakunywa muwasho upo pale pale naombeni msaada anaejua nasumbuliwa na nini.
 
Back
Top Bottom