Nikanunue wapi kifaa cha HIV test?

so ndani ya miezi 3 kabla au baada y kuambukizwa au kutoambukizwa vpm hutoa majib yeny uhakika? ,
 
Huwa mnatumia nini kujitoboa ili mpate damu? Ila kujipima mwenyewe kwalengo lakujua afya yako ni vizuri tuu ila kwamaswala ya ngono nihatari isiyokuwa na mfano?
 
Hebu malizia kwanza ulipomkuta Positive bado uligonga au ulitema mzigo???then nitarudi kucomment

Yeye ndiye anayegongwa na hao wanaume anaowapima. Kwahiyo kwenye biashara yake, haliwi mpaka awe amempima mlaji.
 
Huwa mnatumia nini kujitoboa ili mpate damu? Ila kujipima mwenyewe kwalengo lakujua afya yako ni vizuri tuu ila kwamaswala ya ngono nihatari isiyokuwa na mfano?

kuna visindano vinatolewa pmj na hivyo vifaa,
hatari gani mkuu?
 
Hivi vipimo Viki fresh kabisa Hata Leo asubuhi nometoka kupima na kuhusu vyakutobolea kuna sindano maalumu unatumia kutobolea kidole then unaitupa
 
Yeye ndiye anayegongwa na hao wanaume anaowapima. Kwahiyo kwenye biashara yake, haliwi mpaka awe amempima mlaji.

Acha kejeli bwana mdogo,
mimi ni Mwanaume,
 
nitarudi badae kwajili yako mkuu...!!?? una sema kuna sehemu amna ukimwi kwenye damu..??? ww ni waku chapa sana....!!! kama jambo lipo njee ya uwezo wako ni bora uwa achie wanao jua ili na ww uweze jifunza kupitia wao..!!!
 
vinauzwa sh ngapi na je kwenye pharmacy vinapatikana
 
tunakusubir Mkuu, wahi uokoe watu wa Mungu.
 
kama ww sio mshauri nasaha, na huna vyeti vya kusibitisha umeenda kozi za masuali hayo, huyo dada akienda kujiua na ikafahamika ni baada ya ww kumpima, utaozea jela.
 
Unasema Determine ikiwa positive basi ni true positive? Unajua kama ina high senstivity? Kama vitu hutuvijui bora tunyamaze tu kuliko kudanganya watu
 
kama ww sio mshauri nasaha, na huna vyeti vya kusibitisha umeenda kozi za masuali hayo, huyo dada akienda kujiua na ikafahamika ni baada ya ww kumpima, utaozea jela.

Lazima akaozee jela. Tena kibaya inaweza kuwa kampa majibu ambayo ni false positive. Alafu hajui kuelezea nini maana yake wala hajui kumshauri. Kuna mwingine ukimpa hayo majibu hana moyo tena wa kwenda kituo cha afya mwisho ndio akajiue tu. lakini pia utunzaji wa vile vitu hasa determine ambazo wengi huwa navyo. kwenye lile karasi lake la kununulia kuna kitu maalum kwa ajili ya kuondoa unyenyevu ili kutunza ubora wake. Sasa mtu anamegewa tu na mtu anakaa navyo miezi au mwaka..
 
vinauzwa sh ngapi na je kwenye pharmacy vinapatikana

sina hakika juu ya gharama na namna ya kumfikia mteja,
bt huw navipata kwa jamaa ambaye naye huvitoa kwa uoga hv,
zaid n pm
 
kama ww sio mshauri nasaha, na huna vyeti vya kusibitisha umeenda kozi za masuali hayo, huyo dada akienda kujiua na ikafahamika ni baada ya ww kumpima, utaozea jela.

wengi naona n wageni wa hiv vpm,
bt mi huwa nawaambia kuwa tunacheki magongjw ya zinaa hasa kaswende kisonono,
majib yakiwa positive,
huwa nasingizia vifaa kuw vbovu, au kutokuwa na uhakika, na hivyo kumshauri zaid kufk kwa wenyewe
 
Kijana umepata wapi kibali cha kuwapima watu ngoma sebuleni kwako.....
Huo udaktari umeupatia wapi wa kukufanya uendeshe vipimo bila tiba sebureni kwako......??
Ukishawapima na ukawagundua kuwa wameathirika huwa unawasaidiaje zaidi ya kuwatangaza vijiweni kwenu......kumbuka kuwa huo unaoufanya sio ustaarabu...
 
HV kwny maduka ya dawa havipo? Aisee nahitaji sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…