Kijana umepata wapi kibali cha kuwapima watu ngoma sebuleni kwako.....
Huo udaktari umeupatia wapi wa kukufanya uendeshe vipimo bila tiba sebureni kwako......??
Ukishawapima na ukawagundua kuwa wameathirika huwa unawasaidiaje zaidi ya kuwatangaza vijiweni kwenu......kumbuka kuwa huo unaoufanya sio ustaarabu...
Tumia kinga. Ukimwi sio STI/STD pekee
Yeye ndiye anayegongwa na hao wanaume anaowapima. Kwahiyo kwenye biashara yake, haliwi mpaka awe amempima mlaji.