Nikaota Niko na Binti Jesca Magufuli

Nikaota Niko na Binti Jesca Magufuli

Medicci

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2016
Posts
553
Reaction score
915
Baada ya kutoka zangu chuo kupiga msuli. Nikarudi home nikitafakari mambo mengi makubwa tunayofaidi watanzania kutoka kwa uongozi uliotukuka wa Rais wetu mpendwa.

Rais huyu ni kipenzi cha wengi, na mapenzi haya ameyapata baada ya kuonekana anapigania haki na rasimali za watanzania. Rais wetu Dkt JOHN POMBE MAGUFULI.

Baada ya kufika home, nikajiandaa kuendelea na msuli bed kama ilivyodesturi yetu wanafunzi wapenda elimu.

Ghafla nikapitiwa na kausingizi, nikaanza kupata picha kama nipo ikulu, naongea mambo mawili matatu na Mama Janet, ghafla akatokea Jesca akaja kunihug. Nilifurahi kumuona kwa sababu nilikuwa nimetoka ziarani.

Hatujakaa vizuri Mhe. Akaingia tukajitenga nikaanza kumueleza yaliyojiri.

Nikashtuka maskini. Ila Jesca bado yupo akilini.

Ndoto zangu huwa zinatolea kweli, nalisubiria tu hili kwa hamu...
 
Mkuu huwa ni mpenzi "cha Arusha eti"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naiona kwa mbali Nyumba yetu ile ya Ununio mkabala na Mahaba Beach inakaribia kumpata ' Mgeni ' wa kudumu.
 
Baada ya kutoka zangu chuo kupiga msuli. Nikarudi home nikitafakari mambo mengi makubwa tunayofaidi watanzania kutoka kwa uongozi uliotukuka wa Rais wetu mpendwa.

Rais huyu ni kipenzi cha wengi, na mapenzi haya ameyapata baada ya kuonekana anapigania haki na rasimali za watanzania. Rais wetu Dkt JOHN POMBE MAGUFULI.

Baada ya kufika home, nikajiandaa kuendelea na msuli bed kama ilivyodesturi yetu wanafunzi wapenda elimu.

Ghafla nikapitiwa na kausingizi, nikaanza kupata picha kama nipo ikulu, naongea mambo mawili matatu na Mama Janet, ghafla akatokea Jesca akaja kunihug. Nilifurahi kumuona kwa sababu nilikuwa nimetoka ziarani.

Hatujakaa vizuri Mhe. Akaingia tukajitenga nikaanza kumueleza yaliyojiri.

Nikashtuka maskini. Ila Jesca bado yupo akilini.

Ndoto zangu huwa zinatolea kweli, nalisubiria tu hili kwa hamu...
Hizo ni zako hazituhusuu endeleaa kuota vitu vilivy beyond reality utaishiaaa pabaya
 
Muulize lema alivyoota baba yake Jesca kafa alifanywa nini?
 
Back
Top Bottom