namfahamu huyu mzee na kwa sasa ni kazi yangu kumletea mama ngina mwenzie, ..hv ni tbt kituo gani vile?
Mamndenyi, mwanangu Cantalisia yuko kijijini na huko hakuna network, nimemkomesha na umbea wake..........Hivi binti zako wengine wako wapi,
au tayari umewapiga ban mpaka umalize
kueleza matatizo yako ya ujanani humu.
Never give up nakumbuka alikuwa anaitwa Hayawi binti Mambaligwa Mshamu
Baba Sharon naomba haya mambo yaishie humu humu......................LOLMzee wangu umenikumbusha mbali kweli.......Ulipokimbia umaarufu wako ulizidi maradufu pale Kijijini.Maana wote tulidhani ni ndugu wa Philbert Bayi kwa mbio ulizotoka nazo na tukazidi kuamini kuwa vyombo vile ni vya kwako maan umetoka katika familia maarufu ya kina Philbert..........Vipi mbio umeacha au kipaji kilikuja tu baada ya tukio,kwa kweli ulikuwa vizuri kwa mbio maana ulikuwa mdogo kama piriton yuliona vumbi jeupe la pwani tu
Mzee wangu umenikumbusha mbali kweli.......Ulipokimbia umaarufu wako ulizidi maradufu pale Kijijini.Maana wote tulidhani ni ndugu wa Philbert Bayi kwa mbio ulizotoka nazo na tukazidi kuamini kuwa vyombo vile ni vya kwako maan umetoka katika familia maarufu ya kina Philbert..........Vipi mbio umeacha au kipaji kilikuja tu baada ya tukio,kwa kweli ulikuwa vizuri kwa mbio maana ulikuwa mdogo kama piriton yuliona vumbi jeupe la pwani tu
Baba Sharon naomba haya mambo yaishie humu humu......................LOL
Hahahaha, mkuu huna haja
ya kuogopa maana ni kitambo sana sasa, sidhani hata huyo mkeo mwenyewe
anakukumbuka.
Mkuu hivi unajua kuwa yule still ni mkeo halali kabisaa maana you never
filed a divorce:dance:
umewaonea babu kisa na mkasa?Cantalisia, King'asti, Asnam, mbalu, TaiJike, cacico, Erotica na FirstLady1 marufuku kuchangia huu uzi,
Mkithubutuuu, mtanitambua......................LOL