samurai1411
Member
- Jan 12, 2016
- 20
- 9
Karibu sana ila ujiandae kisaikolojia mkuu.
Natumia karibu vyote ambavyo havina kilevi.Watumia kinywaji gani Mgeni?
Yap, na nimesha karibishwa na wenyejiUnaomba kukaribishwa"
Sijakusikia ukibisha hodi!Mimi ni mgeni jaman katika jf naomba kukaribishwa..