Nikaribisheni jamani, mi mgeni.

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,290
marafiki naomba mnipokee humu ndani, kwani nimekuja na mawazo mazuri ya kujenga taifa letu, je naombeni mniambie marafiki wabaya ni akina nani ili niwaepuke.
 
Humu hakuna mbaya hata mmoja
Karibu na tunayahitaji mawazo yako sana kujenga nchi yetu na wala usimuone binadam mwenzako ni mbaya ila tofautiana nae kwa hoja za kujenga
 
Mkuu karibu JF ni bahari ya kujiachia.....utapa mazuri ya maana !! na Mabaya tupia mbali...!
 
TEMBO WANGU JF wote ni marafiki wazuri,labda we ndo uje na ubaya. Karibu sana.
 
Last edited by a moderator:
mgeni wapi. umekubuu, umebanilisha id??
 
Kanuni ya humu inasema, " Nitasema kweli daima, matusi kwangu mwiko!" Karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…