nikaribisheni jamani!

Karibu..ila naomba utulivu wakati unaingia kwani tuko na majonzi..Jeshi la polisccm linatumaliza.
 
planB karibu sana jamvini, planA umemuacha wapi?
 
Last edited by a moderator:
planB karibu sana jamvini, planA umemuacha wapi?
we Katavi maswali gani hayo?hata hujamuuliza mgeni anakunywa nini.looooooo watu wenye nyuso kavu bwana hawajui hata nini maana ya ugeni.
 
Last edited by a moderator:
 
we Katavi maswali gani hayo?hata hujamuuliza mgeni anakunywa nini.looooooo watu wenye nyuso kavu bwana hawajui hata nini maana ya ugeni.
Blue G hebu muulize mgeni anatumia kinywaji gani, kisha mpatie.
 
Last edited by a moderator:
HaaaaaaHaaaaaaaaa!yaani unaogopa majukumu?hata hivyo usijali nitafuata maagizo yako mkuu Katavi,hesabu bili imeshamfikia pedeshee Ritz.

Ha ha ha haaah!! Si unajua tumegawana majukumu?? Ritz alijitolea kulipia bili zote za wageni.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaaah!! Ulitaka kunichafulia CV mbele ya mgeni......!!
usijali cv yako iko palepale.halafu Katavi hebo nenda kule kwenye jamii photos uone mambo ya MbuziMzee.na kwa ulivyo sijui kama leo hujamganda mzee wa watu mpaka kieleweke.mhhh sitaki kuongea mengi mie ntaitwa mmbeya hebu kajioonee.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…