Nikaribisheni jamani

NAJA

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
475
Reaction score
165
Hodi wenyeji! Mie mwezenu mgeni humu ndani nahitaji kukaribishwa na kupewa maelekezo. Asanteni kwa ukarimu wenu
 
NAJA karibu sana
 
Last edited by a moderator:
Karibu sanaa! Jinsia yako tafadhali au ndo wale in between, CUF SI CUF, CHADEMA SI CHADEMA!
 
Tangaza ndoa harakaa hiyo ndo sheria ya MMU
 
Karibu sana humu ila usiwe na hasira upingwapo kwenye chochote ukianzishasho zaidi kumuelewesha mpingaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…