Nikaribisheni ndugu zangu, mimi ni mwanachama mpya kwenye huu mtandao

ndio mkuu.halafu vp ninaweza kuwasiliana kwa njia gan na mods?
Sasa.....
Kama hiyo avatar ni wewe, naomba ujihadhari sana na watu.... sababu kubwa ni kwamba umechukua sura ya upande wa bimkubwa...
 
Jameni msaada mie mgeni..nitawapataje hao moderators? naenda kwenye sehem ipi ili niwasiliane nawo?
 
fb.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…