karibu sana..
karibu ucheke, ufurahi, uelimike na mengneyo kama hayo ila hasira zako zisiwe za karibu mdau utapasua kioo cha computer yako.
Ndugu wanajamii forums nipokeeni niwe mwanachama hai kwa mawazo na kujengana!nakutanguliza shukrani.
Welcome.
Karbu!!!
ungefungua post yako humu
[h=2]Utambulisho (Member Intro Forum)[/h]
Warmly welcome
Karibu kwenye Bahari ya JF ...nimependa kukupokea Most welcom....!
KaribuUuuuuu mkuuu