Nikaribisheni wana jf

Ndugu wanajamii forums nipokeeni niwe mwanachama hai kwa mawazo na kujengana!nakutanguliza shukrani.

Karibu sana lakini ucishangae kukuta maneno kama vile WEKA PICHA, MATAPELI HAO, KALIME VITUNGUU maneno haya hujirudia rudia.
 
Join Date : 5th March 2013

Posts : 46
Rep Power : 355
Likes Received9

Likes Given0



SIJUI NIKUKALIBISHE AU UNIKARIBISHE?

Join Date : 10th September 2013

Location : dar es salaam kimara
Posts : 374
Rep Power : 453

Likes Received78
Likes Given200




ANY WAY TUKARIBISHANE ...WE ARE KINDLY WELCOME ...LOL
 
kafuge kuku,kukebehiana,kutukanana dhahiri shahir na watu tuliowengi kujifanya tuna maPHD na mamasters kumbe wengine darasa la saba tumemaliza kwa tabu sana ila kwa sababu hatujuani tunasonga hivyo hvyo
Karibu sana lakini ucishangae kukuta maneno kama vile WEKA PICHA, MATAPELI HAO, KALIME VITUNGUU maneno haya hujirudia rudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…