R Rambha Member Joined Feb 1, 2017 Posts 7 Reaction score 0 Feb 22, 2017 #1 Mimi ni mgeni humu sio vibaya mkinikaribisha
xav bero JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 5,134 Reaction score 7,338 Feb 22, 2017 #2 Karbu sana jf,,hapa utapata kila unalohitaji,,huku hakun masikin wote maboss na hakuna asie na gar na ukiwa na kavits utasambwa mpka ukome... Jihadhar tupo watu wa kila aina Ila hutajutia MB zako za chuo... We ni me au ke
Karbu sana jf,,hapa utapata kila unalohitaji,,huku hakun masikin wote maboss na hakuna asie na gar na ukiwa na kavits utasambwa mpka ukome... Jihadhar tupo watu wa kila aina Ila hutajutia MB zako za chuo... We ni me au ke
Nimkimbilie nani JF-Expert Member Joined Nov 23, 2016 Posts 5,996 Reaction score 6,290 Feb 22, 2017 #3 Rambha said: Mimi ni mgeni humu sio vibaya mkinikaribisha Click to expand... Hebu nigongee like kwanza ndo utakuwa member tayari
Rambha said: Mimi ni mgeni humu sio vibaya mkinikaribisha Click to expand... Hebu nigongee like kwanza ndo utakuwa member tayari
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 22, 2017 #4 Karibu mgeni,anza kukifanyia majaribio kitufe cha like hapa.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Feb 23, 2017 #5 Karibu sana JF....