Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
Mimi bado newcomer hapa, japo nimeshacreate nyuzi tayari, mimi ni MWANAUME!, maana kuna mwamba kaja inbox eti "Heisenberg wewe wa kiume au wakike"
Asanteni sana.
Asanteni sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
angalia sanaKumbe wa kiume
Hapakuwa na ulazima wa kuomba kukaribishwa [emoji35]
thanks broKaribu Bro.
Unanitisha au [emoji16]angalia sana
ndioUnanitisha au [emoji16]
asante mremboKaribu mgeni
mii bado newcomer hapa, japo nimeshacreate nyuzi tayari, mimi ni MWANAUME!, maana kuna mwamba kaja inbox et "Heisenberg wewe wa kiume au wakike"
asanteni sana.
ni kinyume na sheria mkuutupe formula ya hiyo blue meth...............
Heisenberg karibu
Karibu sana, walimwengu ndivyo walivyo!!
[emoji109]karibumii bado newcomer hapa, japo nimeshacreate nyuzi tayari, mimi ni MWANAUME!, maana kuna mwamba kaja inbox et "Heisenberg wewe wa kiume au wakike"
asanteni sana.