Nikaribisheni

Joined
Apr 28, 2015
Posts
7
Reaction score
2
Wapendwa wana JF mimi ni mgeni humu kwaiyo naomba kukaribishwa jamani.
Asanteniiii:wink2::wink2:😛eace:
 
Bila ya shaka wewe ni wa jinsia ya ke (kama nimekosea utaniwia radhi) na jina lako limeshahabiana yule mwigizaji wa isidingo..

Humu woooote wana wao kasoro mie tuuuuu..
 
Bila ya shaka wewe ni wa jinsia ya ke (kama nimekosea utaniwia radhi) na jina lako limeshahabiana yule mwigizaji wa isidingo..

Humu woooote wana wao kasoro mie tuuuuu..

dah! huwezi kujua labda atataka kua mke wa pili
 
dah! huwezi kujua labda atataka kua mke wa pili

Mhhh mke wa pili kwanini wakati niko singo & lookin.. Katlego Sibeko usimsikilize huyu Comi.. Mie nilishaachwa kitambo kisa nikiombwa laki ninatoa milioni..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…