Nikasababisha kifo cha mke wangu kwa sababu ya penzi la kahaba………….!


Dah! huyo wewe kwenye avatar yako?
 
gfsonwin.. hili jina gumu kidogo, consider a friendly one. uko wapi yaani nchi gani? mbona nimelala nimeamka bado upo
 
nahisi alikwenda kwa waganga au ni mwanaume msexxx.. mwanamke analeta wanaume wengine kwenye nyumba yako. sijawahi kusikia ishu kama hii..
 
pole ndo maisha... wengine wangejfunzia wapi ucngepata hli pigo.....
 
Huyu Bwana alikosa umakini wa kiroho na kimwili pia kwani hakupaswa kabisa kuwa na uhusiano nje ya ndoa yake. Alifanya dhambi kubwa sana kwa kumsaliti mkewe tena kwa kumleta kahaba wake ndani ya nyumba. Hata baada ya hapo awali kutambua kuwa alikuwa anafanya kosa aliendelea na katabia kake ka kuwa na mahusiano na mtu siye mkewe. Kitu kizuri ni kwamba amejifunza kitu kikubwa katika maisha yake na kutambua kuwa alichokifanya hakikuwa sahihi
 
duh,sad story! jaman mjifunze ninyi wanaume. wanawake cku hizi ni wabaya hakuna mfano. ni nini unachoking'ang'ania huko nje jamanî? subirini mje mgeuzwe ndondocha
 
fundisho kwa wanaume wote wenye vimada mwenzio akinyolewa nawe tia maji
. na sijuhi kwa nini hamkomi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…