Nikasema nilikuwa na Jini mahaba…..!

Mtambuzi bwana na ile hadithi nyingine ulipigwa club kwa kung'ang'ania mwanamke ukidhani ni wanaojiuza duuu!
mkuu unaonekana ulikuwa unapenda sana ngono!
Mkuu, ujana na Balehe ni challenge sana kama usipokuwa makini.............. Kwa mtu kama mimi niliyekulia kijijini ambapo tulikuwa hatuna utamaduni wa kutongoza, na badala yake unawasubiri mabinti wakienda mtoni na huko mnashindana kupigana mieleka, na kucheza sarakasi mpaka kieleweke.............wakati mwingine unaweza kung'atwa na kuondoka na ngeu, lakini utamu wa utukufu unakusahaulisha machungu ya meno, unarudi nyumbani huku umekenua watati damu inakuvuja kwenye jeraha la meno..............

 
Yaan Mtambuzi unatufanya tuwe tuna amka kila Monday kukimbilia JF kuchek kuna hadithi gani....lol... Keep bringing them up broda. Asante saana kwa kutuburdisha.
 
Yaan Mtambuzi unatufanya tuwe tuna amka kila Monday kukimbilia JF kuchek kuna hadithi gani....lol... Keep bringing them up broda. Asante saana kwa kutuburdisha.
Heshima kwako Da Ashadii, Nakushukuru sana kwa uwepo wako katika uzi huu ambao unanipambanua kwa rangi yangu halisi.................. Kiuandishi!
Ninafarijika sana nikisikia kuwa uzi kama huu unasaidia kupunguza stress za Blue Monday.......................

Pamoja Daima.
 
Kuna watu wanapenda kukosoa wenzao! hata kama inahuuu!. Hawajui uandishi mzuri wa visa na mikasa ni kujielekeza tukio ww mwenyewe hata kama stori hiyo haikuhusu, inawezekana ni tukio la mtu wa karibu au rafiki, jamaa n.k
Sio mtu fulani..! akasema naniii...!, akamuuliza nini..? wewe soma kisa toa "like" kama uipendi kula buyu au "pita kimya" uone kama Mtambuzi atakuuliza kwa nini ukucomment?
Lete na ww vituko vyako vya kuchungulia watu huko kijijini kwenu!
 
Hahhahhah hahahah!this is my dear dady a.k.a Gustavo lol!
Baada ya kumaliza kucheka nashawishika kusema
Huyu mdingi wetu jaman anapenda UTUKUFU sijapata kuona bahati mbaya hua hafanikiwi lol!!
Na huyu jini Kipwepwere alikushika haswa lol,na siamini km alishakutoka au la!!!


 
Alafu mkuu zile chachacha zako ulizokuwa unavaa alafu unaulambia bila mkanda, ukijicheki kwenye kioo, unajiona bonge la mjanjaa! Bitozi from bush, a.k.a Bruce lee!
Du! sipati picha ingekuwa vidada vya siku hizi ushakiona utukufu wake siku nyingi
na hivi ulikuwa "too much talking" basi aaaaaah!
 
Gustavo kama kawaida nimeaianza siku vizurii kwa hii stori...Jumatatu imekuwa mwanana kabisa! ila bila Jini Mahaba, ha ha ha
 

Kwa tuliokuwa wasomaji wa visa, hadithi enzi za Mwallimu.....umetupa kitu safi sana...
 
Gustavo bana..una mtoto ambaye amerithi tabia yako ya ujanani..Kama yupo nakupa pole!!!
 
mkuu mbona huwa usemi unapofanikiwa bwana, walau uwe unasema ulipofanikiwa wewe zote ulikuwa unakosa tuu!
 
inahitaji muda , maana japo kausingizi kananinyemelea
 
mkuu mbona huwa usemi unapofanikiwa bwana, walau uwe unasema ulipofanikiwa wewe zote ulikuwa unakosa tuu!
Swaiba salama lkn,
Huyu mdingi huwa anafanikiwa ila anaona so kusema anaogopa tutamharibia kwa maza lol,
Haiwezekan matukio yote haya awe anaishia kukosa tu lzm huwa anabahatika ila ndio ivo tena!!!
 
Daaah nakukubali visa vyako mtambuzi.. Ila tatizo una bahati mbaya mara nyingi mambo yalikuwa magumu kwako.... Ila uliniua zaidi ulivyojifanyaga mreno pale bar...
 

Mkuu inaonyesha una mikasa mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…