Katika vitu ambavyo Mungu kanibariki ni kutokuwa na aibu, kwangu tukio likitokea na kupita huo unakuwa ni sawa na mzoga nasahau na ninachapa mwendo na maisha, na kama inatokea nouma nyingine najaribu kuirekebisha nikipata matokeo yawe mabaya au mazuri, nasonga mbele na maisha na ndio maana ninao ujasiri wa kusimulia hapa JF...........Mkuu, you seem to clever lakini inaonekana kuwa huyo dada was clever than you.
Sasa naomba kuuliza siku za hivi karibuni umewahi kumkumbusha hilo tukio hata kwa kumtania tu?
Duh asie hiyo ni ngumu ningekua mimi ningehama mtaa usiku huo huo.
Pole sana kaka kwa aibu uliyoipata mbele ya watu unaowaheshim ni sawa na mtu kukuvua nguo hadharani
Thanks
Sasa mzee mtambuzi mjini ulikuja marangapi toka umalize form four? Maana mara yakwanza ulifikia kwa kaka yako na leo tena kwa mjomba wako...
Umenifurahisha hapo mwanzo, lakini hiyo maneno kwenye bold..........umeharibu mbayaaaaaa.lini sasa baba mkwe utafanikiwa kila siku unaishia kukosa tu
thanks kwa story nzuri nkikuona utapata ofa ya ndafu choma na castle baridi
naamini itakuwaa njia rahaisi ya kukubali posa ya mwanao cantalisa nimwotae kila siku
Acha unoko wewe..................Hii sio maneno mbofu mbofu, bali ni tukio la kweli kabisaaa,........ Mama yangu mzazi vile nakuampia!
Kumbe wewe hujui, kwa
taarifa yako katika kesi ambazo humalizwa kimya kimya, basi ni kesi za
kubaka..............Hakuna mwanamke anayeweza kusimama kizimbani akaanza
kusimulia u.p.u.u.z.i aliofanyiwa....................LOL
Kumbe wewe hujui, kwa taarifa yako katika kesi ambazo humalizwa kimya kimya, basi ni kesi za kubaka..............Hakuna mwanamke anayeweza kusimama kizimbani akaanza kusimulia u.p.u.u.z.i aliofanyiwa....................LOL
Umenifurahisha hapo mwanzo, lakini hiyo maneno kwenye bold..........umeharibu mbayaaaaaa.
Hivi unayo taarifa kuwa mimi ni mmoja kati ya watu wachache wanaomiliki silaha kihalali hapa nchini? kama ulikuwa hujui basi taarifa ndiyo hiyo!