Darwin Nunez
Member
- Jun 12, 2022
- 90
- 212
Hiyo ada ya kutosha kusoma masters degree kwanini usifanyie biashara?Habari wanajamii
Nimekuwa katika wakati mgumu baada kumaliza masomo yangu level ya bachelor degree tangu mwaka 2015 kwani sijawahi pata ajira yoyote ile
Kwa sasa ninamiaka 32, nauona uzee huu hapa unasogea ikiwa sina mali, mke wala kitu cha thamani ninachomiliki na mbaya zaidi naishi nyumbani though nilitimuliwa nikarudi tena
Sasa familia imeamua kunipa nafasi ya pili nichague kipi nikasomee either nikaendelee na masters ya ducation masomo ya sanaa au nitafute degree nyingine niisome nikimaliza nitafute kazi
Naombeni ushauri
Kwa kipato kipiOa Kwanza akili itakaa sawa[emoji3][emoji23]
Nishapewa mtaji mara kadhaa nikadundaHiyo ada ya kutosha kusoma masters degree kwanini usifanyie biashara?
Chukua Hela nunua hata bajaji, ukae mwenyewe undeshe, kwenye shule nowadays ni bet Hatari...Habari wanajamii
Nimekuwa katika wakati mgumu baada kumaliza masomo yangu level ya bachelor degree tangu mwaka 2015 kwani sijawahi pata ajira yoyote ile
Kwa sasa ninamiaka 32, nauona uzee huu hapa unasogea ikiwa sina mali, mke wala kitu cha thamani ninachomiliki na mbaya zaidi naishi nyumbani though nilitimuliwa nikarudi tena
Sasa familia imeamua kunipa nafasi ya pili nichague kipi nikasomee either nikaendelee na masters ya ducation masomo ya sanaa au nitafute degree nyingine niisome nikimaliza nitafute kazi
Naombeni ushauri
kwahyo unatarajia kuajiriwa bas kaa ukijua ajira pia sio ya kila mtu kama umesota 5yrs huna ajira unaeza ukafa hujaajiriwa huna mtt wala huna kitanda. kwenye maisha yangu sijawahi na sitokaa kuwa na msela apewe mtaji ashindwe kuuendeeza inamaana tatizo lipo kuanzia home company yako wale wanaokuzunguka na ww mwenyewe kichwa chako na machaguzi ya maishagani uishiNishapewa mtaji mara kadhaa nikadunda
Biashara sio ya kila mtu
Jibu zuri sana.Kwa kipato kipi
Siwezi na siji kujaribu kuoa bila ya kuwa na pesa ya kukidhi mahitaji ya familia
Nashauri azingatie yote uliyomwambia isipokuwa la kwamba kama amesomea fani nyingine tofauti na uwalimu akasome postgraduate ya ualimu ili aje aajiriwe, hilo haiwezekani siku hizi hawaajiri walimu wa aina hiyoKama ulisoma Bachelor of Education, ukitaka uzidi kupoteza muda na ujiongezee stress za maisha basi nenda kasome Masters ya aina yoyote ile.
Ila kama ulisoma Bachelor degree ya fani tofaut na Education, nakushauri kasome Postgraduate ya education kwasabab itakuongezea possibilities ya kupata nafasi ya kuajiriwa kuwa Mwalimu.
Ukae ukijua serikal hawamuajiri mtu kwasabab ana Masters, serikali haimuongezi mfanyakaz cheo au mishahara kwasabab ana Masters.
All in all hiyo ada ya masters ni heri ufungue biashara ujaribu bahat yako...
Sikushauri kufanya Masters kwa sasa maana kama hujafanyia kazi ulichosomea ngazi ya bachelor degree si rahisi kupata kazi ukiwa fresh masters labda kama utapata zali la kufundisha chuo na hii ni endapo ulipata GPA nzuri undergraduate.Nishapewa mtaji mara kadhaa nikadunda
Biashara sio ya kila mtu