Nikasome Masters ya kitu gani?

Nikasome Masters ya kitu gani?

Focus120

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2014
Posts
1,089
Reaction score
793
habari wadau in this Forum, mimi ni mwanafunzi wa sheria nasoma Mwaka wa Nne chuo kimoja hapa Dar. nimepata wakati mgumu sana kuchagua nifanye masters ya nini nikimaliza chuo mwaka huu mwezi wa Saba. wapo walionishauri nifikirie kwenda law school, ila moyo wangu unapenda kwanza nifanye masters yangu before law school.

naomba ushauri tafadhali kwa mambo yafuatayo.

1. nifanye masters in law kwenye nini.

2. whether is hould go to school kabla ya masters degree.

natanguliza Shukrani. every opinion will matter.
 
Back
Top Bottom