Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Wakuu, nahitaji kufahamishwa chuo kizuri kinachofundisha kozi ya Project Planning, monitoring and Evaluation kwa njia ya distance learning. Iwe certificate; diploma au advanced diploma. Ndani au nje ya Tanzania
Shukrani
Shukrani