NAOMBA MSAADA WAKO MWANAJF:
Habari wanaJF wenzangu, kwa kipindi sasa nimepitia nyuzi nyingi na kuzisoma, nimekuwa najifunza fursa nzuri kabisa ya ufugaji wa kuku, ila ningependa kupata elimu juu ya ufugaji wa aina nyingine ya mifugo kwa wenye uzoefu,shida yangu kubwa ni kujua juu ya ufugaji kama wa Bata, Kanga, Mbuzi, Ng'ombe na Kondoo, asanteni na karibuni mtufunze juu ya mambo haya!