Wakuu habari za usiku ....nina kesi mahakama ya mkoa mwanza na kesi ipo hatua za mwisho baada ya polisi kusua sua na ushahidi toka 2010 mpaka leo na mara kadhaa hakimu anamwonya mwendesha mashtaka kuwa anachelewesha kesi ili tu aniachie kwa kifungu kidogo 225 ili tu wanikate tena kulingana na mwenendo wa kesi leo polisi wamefunga ushahidi kwa kulazimishwa na hakimu sasa swali langu naweza kukamatwa tena kama nitaachiwa kwenye ruling nikafunguliwa kesi hiyo hiyo tena?....na ruling imepangwa mwezi ujao.....msaada tafadhali kwa wajuzi wa sheria...natanguliza shukrani.
Kama walileta shahidi hata kama ni mmoja kwenye ruling ikionekana huna kesi ya kujibu utaachiwa kwenye kifungu na.230 cha CPA na hutaweza kukamatwa na kushitakiwa kwa makosa waliyokuwa wanekushitaki lakini kama utaachiwa kwenye kifngu na.225(5) kwa maana kwamba upande wa mashtaka wamechelesha ushahidi unaweza kukanatwa tena na ukashitakiwa kwa makosa yaleyAleWakuu habari za usiku ....nina kesi mahakama ya mkoa mwanza na kesi ipo hatua za mwisho baada ya polisi kusua sua na ushahidi toka 2010 mpaka leo na mara kadhaa hakimu anamwonya mwendesha mashtaka kuwa anachelewesha kesi ili tu aniachie kwa kifungu kidogo 225 ili tu wanikate tena kulingana na mwenendo wa kesi leo polisi wamefunga ushahidi kwa kulazimishwa na hakimu sasa swali langu naweza kukamatwa tena kama nitaachiwa kwenye ruling?....na ruling imepangwa mwezi ujao.....msaada tafadhali kwa wajuzi wa sheria...natanguliza shukrani.
Hata hivyo kama wanefunga ushahidi na kama ushahidi wao utaonekana haukukufanya kuwa na kesi ya kujibu lazima utaachiwa kwenye kif na. 230 Kama nilivyoainisha Hapo juuWakuu habari za usiku ....nina kesi mahakama ya mkoa mwanza na kesi ipo hatua za mwisho baada ya polisi kusua sua na ushahidi toka 2010 mpaka leo na mara kadhaa hakimu anamwonya mwendesha mashtaka kuwa anachelewesha kesi ili tu aniachie kwa kifungu kidogo 225 ili tu wanikate tena kulingana na mwenendo wa kesi leo polisi wamefunga ushahidi kwa kulazimishwa na hakimu sasa swali langu naweza kukamatwa tena kama nitaachiwa kwenye ruling?....na ruling imepangwa mwezi ujao.....msaada tafadhali kwa wajuzi wa sheria...natanguliza shukrani.
Kama walileta shahidi hata kama ni mmoja kwenye ruling ikionekana huna kesi ya kujibu utaachiwa kwenye kifungu na.230 cha CPA na hutaweza kukamatwa na kushitakiwa kwa makosa waliyokuwa wanekushitaki lakini kama utaachiwa kwenye kifngu na.225(5) kwa maana kwamba upande wa mashtaka wamechelesha ushahidi unaweza kukanatwa tena na ukashitakiwa kwa makosa yaleyAle
Mrejesho wana jamvi:-kama nilivyouliza hapo nyuma leo mahakama imeniachia kwenye ruling na hakuna mtu alienikamata nimewapita mapolisi kama hawanijui...asanteni wana jamvi wale wote waliochangia huu uzi mungu awabariki sana na heshima kwenu.