Nikiangalia rekodi za Askofu Gwajima napata mashaka kuamini hichi anachokizungumza leo

Watanzania ni wasahaulifu sana.Sasa hivi Tozo washasahau.Watakumbuka ya Gwajima ?
 
Chanjo ni hiari, hapo ndipo Watanzania waliposimamia na walimuanga Rais mkono na tume yake sababu hiyo.

Kama mlisema hivyo ili kuwahadaa Watanzania na baadaye muwabadilikie lazima kuchanjwa na kuwawekea masharti ya kulazimisha kuchwanjwa muwe na uhakika mmesha shindwa big time.

Ukubali ama ukatae Mh Rais ukweli ndio huu kuwa hata wanaokuzunguka na wakaribu yako, wanaokusaidia katika kuongoza Taifa hili wako makundi mawili. Wenye hiari ya kuchanjwa na wasio na hiari ya kuchanjwa. So ujiridhishe usije ukapendwa na kundi moja na ukachukiwa na jingine. Ikitokea hivyo uongozi wako kwa Taifa hili hautakuwa na afya. Utakuwa uongozi wenye kwashakoo aka marasimusu.
 
EPL imeanza...

'Maniyu' kashinda mkono...
 
Hakujua kuwa hakuna jimbo la Birmingham Marekani! Kuna mji wa Birmingham katika jimbo la Alabama. Ukiwa umezoea uongo unadanganya hata visivyokuwa na haja.

Amandla...
 
Habari za Japan Mkuu? Umefikia Nagasaki au Kyoto?!
 
Technology sio kitu kizuri?
 
Laiti kama ungeelewa wala usingerudia, Birmingham UK city
Birmingham US (Alabama) County!
Birmingham (/ˈbɜːrmɪŋhæm/ BUR-ming-ham) is a city in the north central region of the U.S. state of Alabama. Birmingham is the seat of Jefferson County, Alabama's most populous and fifth largest county by area. As of 2018, the Birmingham-Hoover metropolitan area had a population of 1,151,801, making it the most populous in Alabama and 49th-most populous in the United States. Birmingham serves as an important regional hub and is associated with the Deep South, Piedmont, and Appalachian regions of the nation.

Vijana mnapenda sana kutanguliza kebehi katika mijadala. Birmingham ni mji uliopo Jefferson County. Jefferson county iko katika jimbo (State) la Alabama. Ni mji wenye nafasi kubwa katika civil rights movement ya marekani. Mwaka 1963 wasichana watatu waliuawa baada ya kanisa lao kupigwa bomu na wabaguzi wa rangi. Condoleezza Rice alizaliwa Birmingham Alabama. Sijui kama unamjua huyu mama ?

Amandla....
 
Unalalamika kama wewe ndio Gwajima mwenyewe, Birmingham Uingereza ni mji katika US ni county. Tuachane na hayo ni nani hadi sasa mkazi wa Kawe unaemfahamu aliyekwisha pelekwa Birmingham?! Au yeyote wa Birmingham aliyeletwa Kawe?!
Birmingham my foot!!
 
Unalalamika kama wewe ndio Gwajima mwenyewe, Birmingham Uingereza ni mji katika US ni county. Tuachane na hayo ni nani hadi sasa mkazi wa Kawe unaemfahamu aliyekwisha pelekwa Birmingham?! Au yeyote wa Birmingham aliyeletwa Kawe?!
Birmingham my foot!!

Hauna tofauti na Gwajima. Birmingham ni Jiji lililopo Jefferson County Marekani. Hamna kitu kama Birmingham county au Birmingham State ya Gwajima. Tumia mtandao kwa kujielimisha. Google tu Birmingham USA utapata jibu. Sio dhambi kukiri kuwa ulikosea. Wote huwa tunakosea na tunaposahihishwa tunakubali. Ndio uungwana.

Amandla...
 
Mkuu bado haiondoi ukweli County kwa kiswahili ni jimbo kama kawe, Kawe ni jimbo na ndio maana uchaguzi wetu unafanyika kwa majimbo kwa ajili ya kupata wawakilishi wa majimbo katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hujajibu swali, ni mkazi gani wa kawe unaemjua hadi sasa hivi ameshafikishwa Birmingham? Au mkazi gani wa Birmingham aliyeletwa kawe kama alivyosema Gwajima?
Wale wavuvi vipi walishafunguliwa chuo cha uvuvi? Na vipi vile vitendea kazi walishapatiwa?
Gwajima ni muongo tu kama waongo wengine, alichojaaliwa yeye ni kipaji cha kuwaongopea mazezeta yake yanayomuamini na kumuona kama Mungu mtu. Mkesha wa mwaka 2016 aliwaambia mazezeta wake ameshanunua treni na itaanza kuchukua watu, mazezeta yake yakamshangilia sana iko wapi hiyo treni au imekosa njia ya kupita?
Birmingham my foot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…