Nikiangalia tukio la kusisimua kwenye tv/movie hutokwa na machozi mengi sana!

Synod

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
4,143
Reaction score
4,180
Habari wana JF, naomba msaada kama hili ni tatizo kiafya au ni hali ya kawaida!

Mara nyingi nikiangalia tukio la kusisimua hasa lenye kuleta furaha/faraja/huzuni kwenye tv, (movie au live event) huwa najikuta nabubujikwa machozi hasa nikiwa peke yangu! Ninapokuwa na wengine naweza kujikaza au kufuta machozi haraka haraka lakini mtu akinichunguza vizuri atalingundua hilo.

Sasa nashindwa kuelewa kama hili ni tatizo ama ni hali ya kawaida, na kama kuna namna ya kupunguza hali hii
 
Vipi na hili makomandoo wa jw kulalia misumali na kuvuta iveco haujatengeneza mtaro wa machozi
 
Vipi na hili makomandoo wa jw kulalia misumali na kuvuta iveco haujatengeneza mtaro wa machozi
Hilo na mengine ndo chanzo cha kuleta uzi huu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
read about HSP.....high senstive people; labda we ni mmojawapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…