Usigune JS, calculate muda unaotumiwa kwenye kitchen part, send off na harusi kwenye mabaa. Bado fedha tunazochanga tena nyingi siuku hizi zina minimum balance ya kuchanga ambayo ni laki 1 unakuta mshahara wako ni 150,000 inakuwa kazi yako nikutoa 30 kila mwezi mwisho wa mwaka pay as u earn imekuwa overridden na michnago ya harusi na sasa tumeugeuza utamaduni. Research inaonyesha mkoa wa DSM pekee unaconsume TZS 5 billion kwa mwezi hivi tungechangia mambo mengine ya muhimi kama elimu na afya leo hii tungekuwa wapi?