Nikiendesha Gari inakula mafuta hatari

arawa

Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
15
Reaction score
19
Wakuu nisaidieni kuelewa kitu nikiendesha gari inakula mafuta sana tofauti na mtu mwingine akiendesha gari hiyo hiyo, Nashidwaa kuelewa ni nakanyaga vibaya pedel ya mafuta au kuna kitu nakosea, msaada wenu wakuu.
 
ungetoa taarifa zifuatazo

inakula mafuta sana ukilinganisha na nini?

engine ya aina gani?

mwanzo ilikuaje?
 
Inawezekana. Driving behavior inachangia sana. Inawezekana una accelerate kwa haraka mno, unafunga brake hovyo hovyo, una spidi za hatari nk. Ile rpm huangalii.
Jitahidi kupangilia uendeshaji wako.
Jitahidi ucheze between 80 to 100 km speed. Rpm ya around ya 2 inatosha.
 
Safisha au badilisha air cleaner, service ya oil je kwa wakati badilisha
 
Sorry kufunga brake hovyo kunachochea Vipi Ulaji wa Mafuta?
 
Kafanye service vizuri.....
lakini pia vile vile cheki na mafundi wakuangalizie mfumo wa mafuta
Hivi vijana wa TZ huwa mnamjua kusoma kweli? Mbona post ya huyu mwamba inajieleza! Watu mnakuja na hoja za watu waliokatwa vichwa! Mwenyewe amesema akiendesha yeye inakula mafuta tofauti na mtu mwingine akiendesha gari hiyo hiyo!
 
Jaribu kuwauliza hao madereva wengine..pengine kuna kitu wanakijua
 
Wakuu nisaidieni kuelewa kitu nikiendesha gari inakula mafuta sana tofauti na mtu mwingine akiendesha gari hiyo hiyo, Nashidwaa kuelewa ni nakanyaga vibaya pedel ya mafuta au kuna kitu nakosea, msaada wenu wakuu.
Accelerator hiyo mkuu. Usiitumie kama upo katika mbio.
 
air cleaner ikiwa chafu au imechoka husababisha kula mafuta mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…