Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Haya maisha yana mengi, eti niwe jambazi kama Gabi wa UMUGHAKA, Niue watu, niwatapeli watu kwa kuwapa hela feki. Niwe mchawi, nizini na wake wa watu na watoto wao niwape mimba, kisha mizikatae hizo mimba.
Niibe mali ya umma, pesa ya kununua madawa ya watu masikini nikaifiche Switzerland 🇨🇭 halafu nife, aitwe kiongozi wa dini aombee mwili wangu, hakika mimi ni wa motoni.
Bora nizijue siri za ufalme wa mbinguni, niutafute ufalme wa mbinguni na haki yake. Nife katika hali ya haki ma msibani kwangu hao viongozi wa dini wasifike kabisaaaaaaa, nìzikwe tu.
Hakika roho yangu itakuwa imepumzika kwa amani sana. Viongozi wa dini wengi wao ni ma agent shetani. Wao ndio hubariki uchafu wote.
Sikiliza maneno haya