Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Utapatiwa jina lako.GWAMAKA aka Ndondo.Mimi mwenye vinyweleo mwili mzima kama washawasha nikivaa hivi mtaa mzima unaweza hamaki 🤣
Picha bado ipo?Mimi mwenye vinyweleo mwili mzima kama washawasha nikivaa hivi mtaa mzima unaweza hamaki 🤣
We utavaa hivi wakat ushazeeka na una kitambi tuacheni vijana 😂Utapatiwa jina lako.GWAMAKA aka Ndondo.
Bado hapo awe ametupia na visandals na socks, huyo kijana wa hivo ni hovyo kabisaUnakuta mwanaume anavaa zake hivi na sendo na vest anaingia zake town alafu hana habari
Kama wewe ni mshkaj wangu bora urafiki uishe maana unakuwa ni utoto na uvulana , mwanaume kamili hawezi kuvaa hiviView attachment 3428835
Acheni izo fashionBado hapo awe ametupia na visandals na socks, huyo kijana wa hivo ni hovyo kabisa
Mkuu acha tu.Shangazi yako ananibembeleza saa hizi kwa kuninunulia bia ili nisitazame vidosho hapa kilabuni.Mola anirehemu sana.We utavaa hivi wakat ushazeeka na una kitambi tuacheni vijana 😂
Pumzika mzeeMkuu acha tu.Shangazi yako ananibembeleza saa hizi kwa kuninunulia bia ili nisitazame vidosho hapa kilabuni.Mola anirehemu sana.
Naenda kulinda sungusungu ni zamu yangu leo.Pumzika mzee
Shehe 🤣🤣🤣Astaghifilulah! Mswalie mtume ndugu.
Kwanini sasa bro 😁Duuh una hatar wewe
Naam maalim.Nipo navuta uradi hapa mitaa ya karibu na masjid.Shehe 🤣🤣🤣
Ushawahi kukutana na mtu wa hivo?Inasikitisha sana mkuu 😂
Kwani shehe na wewe unavaaga vipensi?Naam maalim.Nipo navuta uradi hapa mitaa ya karibu na masjid.
Naam maalim.Nipo navuta uradi hapa mitaa ya karibu na masjid.
Kwa ndani juu ya kipedo ili kutunza tasbihi yangu.Kwani shehe na wewe unavaaga vipensi?
Sawa wajukuu hamna noma.Kama tumeweza kuikodisha bandari hatutashindwa kuita mercenaries kijeshi watulindie nchi yetu.Maana ninyi mpo kwenye fasheni tu.View attachment 3428863
baby zu GWAMAKA USWEGE hii ni fashion vaa tembea popote hao wengine ni wazeee humu mtu kajiunga jf 2008 ata weza kuvaa hivi its ur time