Dooo avae tukiwa ndani tena chumbani akija sitting room avae pensi yenye adabuView attachment 3428863
baby zu GWAMAKA USWEGE hii ni fashion vaa tembea popote hao wengine ni wazeee humu mtu kajiunga jf 2008 ata weza kuvaa hivi its ur time
Kuna jinga moja nililiona Kariakoo kavaa hi na kile kimkoba cha kuvaa begani.., aiseeUnakuta mwanaume anavaa zake hivi na sendo na vest anaingia zake town alafu hana habari
Kama wewe ni mshkaj wangu bora urafiki uishe maana unakuwa ni utoto na uvulana , mwanaume kamili hawezi kuvaa hiviView attachment 3428835
Sijawahi mana circle yangu Hazina hizo pipoUshawahi kukutana na mtu wa hivo?
Wanagawa sana
Kwani mtu ukivaa ivyo means huwezi pigania nchiSawa wajukuu hamna noma.Kama tumeweza kuikodisha bandari hatutashindwa kuita mercenaries kijeshi watulindie nchi yetu.Maana ninyi mpo kwenye fasheni tu.
Ohh ila watu sikuiz wanvaaDooo avae tukiwa ndani tena chumbani akija sitting room avae pensi yenye adabu
Mambo ya kumshughulisha binti wa kazi sitaki
Ila pia sisi dini yetu inamkataza mwanaume kuvaa hivi, stara sio kwa wanawake tu hata kwa wanaume
Ngumu.Mpaka mkachukue garments na zana za mapigano tutachelewa.Kwani mtu ukivaa ivyo means huwezi pigania nchi
Mkuu hitaki tuvae boxe!Unakuta mwanaume anavaa zake hivi na sendo na vest anaingia zake town alafu hana habari
Kama wewe ni mshkaj wangu bora urafiki uishe maana unakuwa ni utoto na uvulana , mwanaume kamili hawezi kuvaa hiviView attachment 3428835
Hata huko kwenu madibira tu njombe mbali😆Dasalama hiyo.Waende Njombe wakavae hivyo tuone.
🙌Unakuta mtu kavaa hicho kidude halafu ana vigimbi vimekomaa kama vya goliati (vigimbi mchomoko).
Gimbi kama rungu la shetani. Guu lina manyoya kama panya.
Shundu sasa, kitu mbinuko kama aviola.
Akijamba shundu linanesa.
🤣Ndo mavazi yako
Hujawahi kushuhudia hiyo scenario?Mna amua kutuma nyongo 😂
Utapelekwa kwa Mtendaji utandikwe viboko vingi sana,usi-try it at the village.Hata huko kwenu madibira tu njombe mbali😆
Kawaida kwani shikamoo ina maana ganiHujawahi kushuhudia hiyo scenario?
😋Mimi mwenye vinyweleo mwili mzima kama washawasha nikivaa hivi mtaa mzima unaweza hamaki 🤣
Comment nzitosana hii thou inachekeshaSawa wajukuu hamna noma.Kama tumeweza kuikodisha bandari hatutashindwa kuita mercenaries kijeshi watulindie nchi yetu.Maana ninyi mpo kwenye fasheni tu.
You likey, likey eeh!
Yap yapYou likey, likey eeh!
Hao ni wanaume wa dsm, nenda pale iringa au njombe huko uvae hyo fashionFashion acheni kukuza mambo
Kwamba wata nifanya nini?Hao ni wanaume wa dsm, nenda pale iringa au njombe huko uvae hyo fashion