Nikifanya jambo la msingi nasikia usingizi, nikishika simu unapotea, kwanini?

Nikifanya jambo la msingi nasikia usingizi, nikishika simu unapotea, kwanini?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Kwa mfano nafungua kitabu kwenye laptop nisome, dakika chache nasikia usingizi, mikishika simu nipoteze usingizi, namaliza masaa bila kusinzia, ipi trick ya ku win hii hali ili niwe productive?
 
Unasoma vitu ambavyo huna interest navyo ndio maana.

Kwa mfano mie interest yangu ni kugegedana. Nikishika kitabu chochote kinachohisu reproduction wa masaa yanapita bila wasiwasi.

Lakini sijui nisome kitabu cha harry porter mbona page mbili tuu chali
 
Mara nyingi watu wa karne hufikiria maisha yao kwa kina simu zao zikiwa zinachaji

Charger plugged in [emoji898]
 
Weka utaratibu wa kuwasha data mara chache sana kwa siku.
Pia endelea kujipa mazoezi ya kusoma vitu vya muhimu hiyo hali itakata
 
Back
Top Bottom