sanalii JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,639 Reaction score 5,767 Aug 24, 2022 #1 Kwa mfano nafungua kitabu kwenye laptop nisome, dakika chache nasikia usingizi, mikishika simu nipoteze usingizi, namaliza masaa bila kusinzia, ipi trick ya ku win hii hali ili niwe productive?
Kwa mfano nafungua kitabu kwenye laptop nisome, dakika chache nasikia usingizi, mikishika simu nipoteze usingizi, namaliza masaa bila kusinzia, ipi trick ya ku win hii hali ili niwe productive?
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Aug 24, 2022 #2 Unasoma vitu ambavyo huna interest navyo ndio maana. Kwa mfano mie interest yangu ni kugegedana. Nikishika kitabu chochote kinachohisu reproduction wa masaa yanapita bila wasiwasi. Lakini sijui nisome kitabu cha harry porter mbona page mbili tuu chali
Unasoma vitu ambavyo huna interest navyo ndio maana. Kwa mfano mie interest yangu ni kugegedana. Nikishika kitabu chochote kinachohisu reproduction wa masaa yanapita bila wasiwasi. Lakini sijui nisome kitabu cha harry porter mbona page mbili tuu chali
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,356 Reaction score 38,922 Aug 24, 2022 #3 Hii nchi ngumu
Tafuta Hela JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 1,546 Reaction score 2,983 Aug 24, 2022 #4 Mara nyingi watu wa karne hufikiria maisha yao kwa kina simu zao zikiwa zinachaji Charger plugged in [emoji898]
Mara nyingi watu wa karne hufikiria maisha yao kwa kina simu zao zikiwa zinachaji Charger plugged in [emoji898]
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Aug 24, 2022 #5 Waterloo said: Hii nchi ngumu Click to expand... Sana
Boveta JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,174 Reaction score 3,804 Aug 24, 2022 #6 Weka utaratibu wa kuwasha data mara chache sana kwa siku. Pia endelea kujipa mazoezi ya kusoma vitu vya muhimu hiyo hali itakata
Weka utaratibu wa kuwasha data mara chache sana kwa siku. Pia endelea kujipa mazoezi ya kusoma vitu vya muhimu hiyo hali itakata