nahitaji msaada wadau, kila nikifanya mapenzi napata shida ya kuvimba sehemu ya chini ya penis ambapo nimetahiriwa kama miaka nane iliopita, tatizo hilo limeanza mwaka huu,
kwahiyo siwezi kuendelea mpaka nimeze asprin na kupaka ile sehemu inayovimba ili kidogo patulie kama baada ya masaa 2, baada ya hapo naendelea kukamua vizuri, sasa nashindwa kuelewa tatizo hasa ni nini, na kama naweza kupata matibabu ili nifurahie tendo hilo bila bugudha yoyote. nashukuru.