Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Pamoja na kuwa tumechabangwa na wamasai wa Kenya lakini kuna touch and shoot ya samata ilioZaa goli kupitia kwa msuva
Lilikuwa shoot hatari lilikuwa na speed ya 90/sec
Kwahiyo touch moja tu litaweza kumrahisishia kwa kiasi kikubwa kusajiliwa na timu za EPL
It was a fantastic and magnetic touch hiyi ndio inatofautisha professional na wachezaji wengine
Shoot kama lile msimu huu nimeliona Mara moja tu msimu huu Tanzania ambapo John bocco aliwatungua biashara united kule musoma
Imebidi ni wapongeze tu kwa kuwa hata nikiwalaumu hawana uwezo wa kwenda zaidi ya pale
Udhaifu wa kocha kusoma mchezo Na kubadilika
Jana timu yetu ilikuwa na nafasi kubwa sana kuibukuka na ushindi kama kocha angewazuia wachezaji wasicheze faulo karibu na 18 ama mipira ya kona
Kocha wa Kenya alitambua wachezaji wetu wengi ni wafupi hivyo mpira ya kutengwa na mipira ya kona ndio iliyotuadhibu zaidi kwasababu wachezaji wengi wa Kenya ni warefu
Wachezaji wote jana walijituma sana ila tunahitaji kocha mwingine kocha atakayeelewa kazingira ya wachezaji wetu
Faridi musa na erasto nyoni jana ndio walisababisha timu isiwe na papara kama mechi liyopita