Walevi mna raha sana, jana nimezipiga za kutosha kwenye harusi ya mshkaji.... ile nimelewa namwagiwa masifa kinoma naiona dunia yote yangu natamba tu ukumbini kumwaga noti ila kuamka kichwa kinauma balaa.
Kama siku hizi barakoa zinatusaidia sana. Yaani unaenda kazini umeshazipiga safari nne za baridi baada ya kunywa supu ya utumbo, then unaendelea kuongea na wana bila kuhofia harufu.