Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Labda sio Bongolala>ndHii Kesi itaondoka na wengi sana
Ni kuwashitaki polisi kwa majina yaoHii Kesi itaondoka na wengi sana
Ni mambo ya kihuni snKesi ikiwa ya mambo ya upinzani watu wanakanyaga sheria na kuamua wao wanachotaka ili kuwafurahisha wakubwa..
Chini ya serikali hii ya CCM ama unaota?? Unashindwa hata kuelewa kuwa yanayo endelea ni maelekezo na wao ni watekelezaji tu.Hii Kesi itaondoka na wengi sana
Itakuwa ni kesi ya uchochezi tu na ambao mara zote washitakiwa huishinda Jamhuri kabla na hata baada ya hukumu kutoka! Au Hakimu atoe hukumu ya kukengeuka, na mwisho wa siku na yeye apate uteuzi.Kwani anatuhumiwa kwa kosa gani hasa?
Mbona tuhuma zake hazitajwi umma tukajua ?