BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Habari
Nikifungua www.jamiiforums.com nakutana na maneno haya
Warning: cannot use a scalar value as an aray in [path]/search.php on line 2508 baada ya ku-click kwenye Today's Posts, hayo maneno yanajirudia mara kumi na sita kwa kuenda chini. Halafu niki-scroll down ndo naiona page ya Jamii Forum.
Nikifungua page zingine kama gmail,yahoo n.k. haya maneno hayatokei.
Hili tatizo la hayo maneno kwenye page ya JF limeanza jana usiku na sielewi inaashiria nini.
Naomba mnielimishe.
Asanteni.

BELINDA,
Naamini utapata maelezo soon hapa JF.
Pole lakini.
I don't see that on my side...
*** pole ***
Dah Pole Bellies angalia labda kuna wahuni wanakuchezea mchezo maana watu siku hizi kiboko
Pole sana Dia, labda ndo maana hupati PM zangu.....
I have the same problems too.
Nami nakutana na tatizo hilohilo. nimezima na kuwasha tena bado lipo hadi sasa.
Administators naomba utujulishe nini cha kufanya zaidi ya kutujulisha source yake.
Thanks.
na mimi same case, na linatokea kwenye JF tu, au ndo tushapigwa vijidudu nini?
Working on it...
Pole shem...Hata mimi napata tatizo hiloHabari
Nikifungua www.jamiiforums.com nakutana na maneno haya
Warning: cannot use a scalar value as an aray in [path]/search.php on line 2508 baada ya ku-click kwenye Today's Posts, hayo maneno yanajirudia mara kumi na sita kwa kuenda chini. Halafu niki-scroll down ndo naiona page ya Jamii Forum.
Nikifungua page zingine kama gmail,yahoo n.k. haya maneno hayatokei.
Hili tatizo la hayo maneno kwenye page ya JF limeanza jana usiku na sielewi inaashiria nini.
Naomba mnielimishe.
Asanteni.
Pole shem...Hata mimi napata tatizo hilo
Dah wakuu imekaaje hii?,kwangu mimi tatizo hili bado laendelea!!!Habari
Nikifungua www.jamiiforums.com nakutana na maneno haya
Warning: cannot use a scalar value as an aray in [path]/search.php on line 2508 baada ya ku-click kwenye Today's Posts, hayo maneno yanajirudia mara kumi na sita kwa kuenda chini. Halafu niki-scroll down ndo naiona page ya Jamii Forum.
Nikifungua page zingine kama gmail,yahoo n.k. haya maneno hayatokei.
Hili tatizo la hayo maneno kwenye page ya JF limeanza jana usiku na sielewi inaashiria nini.
Naomba mnielimishe.
Asanteni.
Kumbe mnafanya hivyo mkiwa hamja-log in sio?Dah wakuu imekaaje hii?,kwangu mimi tatizo hili bado laendelea!!!
...............
Nipo around mazee, poa mi niponipo sana leoUpo humu mkuu, habari za siku. Mi ndio natoka, nilikuwepo kuwepo humu.
Kumbe mnafanya hivyo mkiwa hamja-log in sio?
We've to disable this option for unregistered users at this moment while fixing it.
Ahsante
Nipo around mazee, poa mi niponipo sana leo