UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Unaweza ku-log off na kuangalia kisha kusema kama error hiyo bado ipo? Itatusaidia kujua namna nyingine ya kushughulikia suala hili.Mimi nafikiri kwa jinsi nilivyokutana nalo mm, ni kwasababu nilikuwa nataka kuangalia kwa haraka haraka habari za JF kwa maana bila ya log in lakini nikiingia kama kawaida kama Komamanga basi naendeleea tuu kama kawaida.
Nami nakutana na tatizo hilohilo. nimezima na kuwasha tena bado lipo hadi sasa.
Administators naomba utujulishe nini cha kufanya zaidi ya kutujulisha source yake.
Thanks.
Wi hodza muno!