Nikihisi harufu ya mahanjumati (wakati wa kukaangiza) nakohoa (napaliwa)

Kubingwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2010
Posts
505
Reaction score
69
Wakuu poleni kwa msiba mzito!
Kama title yangu inavyosema hapo juu.Hili tatizo linasababishwa na nini? Wala siumwi.Nikisikia harufu ya vitunguu vya kukaanga na mavitu vitu vingine,nakohoa mno yaani napaliwa sana.
Kwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…