John Mwakasege
New Member
- Jul 16, 2024
- 1
- 3
Habari, ningependa kufahamu nikiwa mmiliki wa pikipiki Dar es salaam na nikahitaji kujiunga na Bolt au Uber wastani tsh ngapi kwa siku naweza ingiza. Pikipiki yangu na naendesha mwenyewe. Kuna gharama zipi za uendeshaji pia.