Nikiikumbuka kauli hii ya Dr Askofu Malasusa naumia sana kwa nini amekuwa Askofu tena wana jf nisameeni.

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Ni Tukio nisilo weza lisaau kamwe kwenye safari ya Maisha yangu ya kuisaka Elimu
Na natamani siku moja Dr Alex Malasusa akipata nafasi ya kukutana nami au kama anayo nafasi kupitia hapa Jamii forum maana najua watu wake wa karibj ni Member wenzangu wamfikishie ujumbe huu aniombe radhi mimi na wenzangu tulio kuwa tunasoma chuo kikuu cha Tumaini Da resalam.
Nakumbuka tukio ili nila miaka zaidi ya kumi sasa lakini nimeshindwa kusamehe.

Nakumbuka enzi hizo nilikuwa Waziri wa habari na Mahusiano serikali ya wanafunzi Tudarco

Chuo kikuu cha Tumaini kilipandisha ada mara mbili kama sio mbili na nusu ya ile ya awali, ili kuepusha watoto wa masikini walio kuwa wanasoma pale kuto kuacha chuo hicho tuliomba kwemda kumwona Dr Alex Malasusa kwa mambo mawili
Mosi ilikuwa kumwomba atusaidie watoto wa masikini wasipandishiwe ada.

nakumbuka kilichotupeleka kwake kikubwa kilikuwa ni hicho.

JIBU LA DR Alex Malasusa Askofu Mkuu lilikuwa ni "TUMAIN SIO CHUO CHA WATOTO WA MASIKINI"

KAMA MNAONA KUNA MASIKINI FANYENI ITISHENI ALAMBEE ALAFU KUPITIA HAPO MTAPATA FEDHA ZA KUSAIDIA WATOTO WA MASIKINI WASOME LA SIVYO WAONDOKE.

WAZO ILO LILOFANYIWA KAZI TULIITISHA ALAMBEE NA NAISI NAE ALIKUWA MIONGONI MWA WAGENI NA FEDHA ILIPATIKANA NA WANAFUNZI WAKAWEZESHWA TUKAMALIZA CHUO.
Nimekumbuka ili jambo miaka kumi na nne iliyopita maana nami nilikuwa miongoni mwao
Kilichoniuma ni jinsi alivyotamka neno ilo TUDARCO SIO CHUO CHS WATOTO WA MASIKINI.

Nampongeza
Rais wa Tudarco enzi hizo
Ndugu Laurence Mwantimwa
roho wa mungu aliokuongoza kupokea neno la Askofu na kulifanyia kazi pasipo jaziba maana mimi binafisi nilipotoka kwenye kile kikao nilighadhifika sana
Popote ulipo Laurence Mwantimwa ubarikiwe nilipata taarifa yakuwa uko marekani baada ya kugombea ubunge chadema ukaukosa ukatimkia ccm nao wakakubwaga binafsi natambua uzuri wako katika siasa ila siungani nawe katika hama hama zako.
Wasalimu Marekani.

Pongezi za dhati ziende kwa watumishi wa TUDARCO MIAKA KUMI ILIYOPITA Maana nimepata taarifa sasa inaenda kuwa compusi inayojitegemea
Hongereni sanaaaaa
Wenu
Sifi leo
Kutoka kyeibumba.
 
Ukweli unauma sana, askofu alisema ukweli na jambo jema alishauri kitu gani kifanyike. Mlifuanyia kazi ushauri wake na mkafanikiwa kitu ambacho unapaswa kushukuru pia. Ulipewa ushauri wa bure ila kwa fikra zako uliona kama unastahili kupewa bure! Hili ni tatizo kubwa sana kwa masikini kudhani kuwa haki yao ni kupokea tu. Ulipaswa kushukuru sana na ingewezekana ungeonyesha heshima kwa Askofu kwa ushauri wa bure aliokupa.

Sijaona kosa la Askofu hapo ila naona fikra na mitazamo yako ya kimasikini.

Masikini utajiri wake mkubwa anaoumiliki ni chuki, fitina, majungu pamoja na roho za vinyongo, kulalamika mwanzo mwisho na visasi.

Achilia machungu uliyonayo moyoni na nafsi yako itaponywa. Vinginevyo roho ya umasikini itaendelea kukuandama.

Yote kwa yote unisamehe kama umekwazika kwa maoni yangu.
 
Ni Tukio nisilo weza lisaau kamwe kwenye safari ya Maisha yangu ya kuisaka Elimu
Na natamani siku moja Dr Alex Malasusa akipata nafasi ya kukutana nami au kama anayo nafasi kupitia hapa Jamii forum maana najua watu wake wa karibj ni Member wenzangu wamfikishie ujumbe huu aniombe radhi mimi na wenzangu tulio kuwa tunasoma chuo kikuu cha Tumaini Da resalam.
Nakumbuka tukio ili nila miaka zaidi ya kumi sasa lakini nimeshindwa kusamehe.

Nakumbuka enzi hizo nilikuwa Waziri wa habari na Mahusiano serikali ya wanafunzi Tudarco

Chuo kikuu cha Tumaini kilipandisha ada mara mbili kama sio mbili na nusu ya ile ya awali, ili kuepusha watoto wa masikini walio kuwa wanasoma pale kuto kuacha chuo hicho tuliomba kwemda kumwona Dr Alex Malasusa kwa mambo mawili
Mosi ilikuwa kumwomba atusaidie watoto wa masikini wasipandishiwe ada.

nakumbuka kilichotupeleka kwake kikubwa kilikuwa ni hicho.

JIBU LA DR Alex Malasusa Askofu Mkuu lilikuwa ni "TUMAIN SIO CHUO CHA WATOTO WA MASIKINI"

KAMA MNAONA KUNA MASIKINI FANYENI ITISHENI ALAMBEE ALAFU KUPITIA HAPO MTAPATA FEDHA ZA KUSAIDIA WATOTO WA MASIKINI WASOME LA SIVYO WAONDOKE.

WAZO ILO LILOFANYIWA KAZI TULIITISHA ALAMBEE NA NAISI NAE ALIKUWA MIONGONI MWA WAGENI NA FEDHA ILIPATIKANA NA WANAFUNZI WAKAWEZESHWA TUKAMALIZA CHUO.
Nimekumbuka ili jambo miaka kumi na nne iliyopita maana nami nilikuwa miongoni mwao
Kilichoniuma ni jinsi alivyotamka neno ilo TUDARCO SIO CHUO CHS WATOTO WA MASIKINI.

Nampongeza
Rais wa Tudarco enzi hizo
Ndugu Laurence Mwantimwa
roho wa mungu aliokuongoza kupokea neno la Askofu na kulifanyia kazi pasipo jaziba maana mimi binafisi nilipotoka kwenye kile kikao nilighadhifika sana
Popote ulipo Laurence Mwantimwa ubarikiwe nilipata taarifa yakuwa uko marekani baada ya kugombea ubunge chadema ukaukosa ukatimkia ccm nao wakakubwaga binafsi natambua uzuri wako katika siasa ila siungani nawe katika hama hama zako.
Wasalimu Marekani.

Pongezi za dhati ziende kwa watumishi wa TUDARCO MIAKA KUMI ILIYOPITA Maana nimepata taarifa sasa inaenda kuwa compusi inayojitegemea
Hongereni sanaaaaa
Wenu
Sifi leo
Kutoka kyeibumba.
Kuna jamaa mmoja anaitwa NKINI JOHN.

Nae Alisomagaaa hapo

Unamfahamu jamaa alikuaga chawa Sanaa yuleee wa CCM
 
Nilimkulaga mtt wa malasusa Maria alipsoma Ljs
 
Kuna vitu ni vigumu kusahaulika ila jitahidi mkuu usahau....Mwenyezi Mungu akawe msaada wako
 
Back
Top Bottom