Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Mimi ni kijana wa miaka 25 kiukweli toka nimekuwa mtu mzima mpaka leo sijawahi kudumu kwenye mahusiano japo kwa miezi miwili mi mara nyingi ni mwezi mmoja then nakula kibuti cha haja hichi kitendo kwa kweli kinanipa wakati mgumu na kinanifanya nisijiamini kabisa coz nikishaingia kwenye mahusiano basi naanza kuwa na hofu basi najitahidi kumtreat mpenz wangu vzr ili yasitokee yaliopita lakini bado unakuja kumwagwa sasa sijui shida ni nini?
Maana muenokano wangu c mbaya na napendwa hatari shida ni kuwa nikiingia tu kwenye mahusiano hata na hao wanaoonyesha kunipenda bac ni mwezi mmoja mapenzi yanakufa kitabia ni kijana mpole, mstaarabu na mnyenyekevu.
Sasa sijui huwa nakosea wapi au ni mkosi mwezi uliopita nilijitahidi nikapata mtoto mmoja mzuri sana ila juzi tu tayari nimemwagwa et kisa niliahidiwa kiss na hugging bac mi nikapitiliza nikashika mpaka mbunye kuamka asubuhi nakuta tayari nimemwagwa na nishakula block ya nguvu kuja kumuuliza kisa naambiwa nilivunja masharti yani niligusa sehem ambazo sikuahidiwa.
Hakika ninaumia sana sijui tatzo langu huwa ni lipi mpaka kuna kipindi nilijiona sina thamani nkawa napiga nyeto tu kwa miaka kadhaa maana mahusiano kwangu yashakuwa magumu ila baadae niliamua kuacha.
Nakumbuka kipindi flani nyuma nilibahatika kuwa na mahusiano na mtoto mmoja wa uswahilini siku moja tupo gheto aliniambia kauli moja KUWA KAMA MWANAUME mpaka leo hii kauli huwa naitafakari sana nae hatukudumu coz alienda kugawa namba yangu kwa muhuni mmoja wa huko uswahilini akaanza kunitishia maisha siku nilikuja kuwafuma mshikaji ni choka mbaya hatari lakini bado kaweza kuniangusha hapo ndio nikaamini nina tatzo mahali na kuna kipindi aliniomba tishet zangu nikampa nayeye akaenda kuumpa huyo muhuni wake hakika niliumia sana sifa zangu huwa ni mpole sana na pia kitendo cha kutodumu kwenye mahusiano kimenifanya nisijiamini kabisa.
Hii kitu imeniathiri sana kisaikolojia napoona watu na wapenzi wao huwa najuuliza sana kasoro yangu mimi ni ipi maana nikitongoza nakubaliwa ila baada ya hapo ni kumwagwa.
Naamini hapa jf ni mahala sahihi pa kupata suluhisho la tatizo langu naombeni msaada wa mawazo yenu ili niondokane na tatzo hili. Kiukweli hali ni mbaya nahitaji msaada. Note mimi ni msafi sana tena mtanashati.