Nikiingia kwenye mahusiano yanavunjika ndani ya muda mfupi sana

Daah..yani sina raha kabisa katika maisha yangu
 
Ushawahi muukiza wa uswahilini kwa nini alisema hivyo
 
Ni kweli nina historia kwenye maisha yangu ambayo imenijengea nidhamu ya kutojiamini toka nikiwa mtoto
 
Ni kweli mkuu yani nipo safi mpaka ukiambiwa nipo single miaka yote uwezi kuamini sijui utanisaidiaje mkuu
 
Atuongei mpaka leo so ni ngumu kumuuliza
Duuh hapo basi ni bora ujitafakari kwa kina tatizo lipo wapi ila muda mwingine waweza achaa tuu yanaweza pita na muda na jitahidi kubadilisha mindset yako
 
Mkuu una nyota ya kikorea, siunaonaga kwenye movie zao wapendanao wanakuwa pamoja kwenye episode ya mwisho kabisa?

Jitahidi usikurupuke kuingia kwenye mapenzi. Ukimpenda demu, mfanye awe friend wako hata kwa mwaka mzima, then baada ya hapo ndio umtongoze. Hata ikitokea amekukubali alaf baada ya mwezi mmoja akakutema, atleast uhusiano wenu unakuwa umedumu kwa mwaka na mwezi mmoja.
 
Duuh hapo basi ni bora ujitafakari kwa kina tatizo lipo wapi ila muda mwingine waweza achaa tuu yanaweza pita na muda na jitahidi kubadilisha mindset yako
Ndugu yangu nakwambia ukiambiwa nipo single miaka yote uwezi amini na nkitongoza wanakubali ila sasa baada ya hapo kimbembe
 
Duuh hapo basi ni bora ujitafakari kwa kina tatizo lipo wapi ila muda mwingine waweza achaa tuu yanaweza pita na muda na jitahidi kubadilisha mindset yako
Sawa mkuu but ni muda mrefu toka nianze kusumbuliwa na hii tatzo yani hata sielew kwakweli
 
Daah..yani nahisi kuchanganyikiwa kabisa
 
Daah..yani nahisi kuchanganyikiwa kabisa
 
Daah..yani nahisi kuchanganyikiwa kabisa
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…